Yakiwa yamebakii masaa machache msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Chin Bees kuzindua album yake ya ‘Ladha’ tayari msanii huyo ameachia video mpya ya wimbo wake wa ‘Check It’ ambao ambao utakuwa kwenye album hiyo.
Mdundo umetengenezwa na Goncher na video imeongozwa na Destrokutoka Wanene Films. ENJOY!!
Post A Comment: