Msanii mkongwe wa muziki, Mwasiti Almas Jumatatu hii ameachia wimbo wake mpya ‘Bado’ akiwa amemshirikisha rapa Bill Nass. Wimbo huo umeandaliwa na producer Kimambo na umeandikwa na Marioo.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: