Mwenyiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA na kiongozi wa kambi ya
upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akiwa na Mbunge wa Iringa Mjini,
Mchungaji Peter Msigwa katika gari ya Polisi tayari kwa kupelekwa
Segerea baada ya kukosa Dhamana katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu
kutokana na Mashtaka yanayo wakabili.
Mwenyiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA na kiongozi wa
kambi ya upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akiwa na washtakiwa wenzake,
Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa, Naibu Katibu Mkuu wa
Chama hicho (Zanzibar) Salum Mwalimu, Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho
(Bara) na Mbunge wa Kibamba, John Mnyika, Katibu Mkuu wa Chama hicho
Vicent Mashinji, Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa na
Mbunge wa Tarime Mjini , Ester Matiku wakiwa katika kizimba cha mahakama
ya hakimu mkazi kisutu baada ya kesi yao kuarishwa na kuamuriwa kurudi
rumande bila dhamana.
*Mahakama yaamua kuwanyima dhamana kwa usalama wao
*Hatma yao kujulikana Ijumaa iwapo watatoka mahabusu au la
Na Karama Kenyunko,Globu ya jamii
MWENYEKITI
wa Chadema Freeman Mbowe na viongozi wengine wa chama hicho ambao
wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam wamepelekwa
mahabusu baada ya upande wa Jamhuri kuwasilishwa maombi ya kuwanyima
dhamana.
Mbali
ya Mbowe wengine ni Mbunge wa Iringa Mjini Peter Msigwa, Naibu Katibu
Mkuu Bara Salum Salum, Mbunge wa Kibamba John Mnyika, Mbunge wa Tarime
Mjini Ester Matiko na Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Vicent Mashinji.
Hivyo
ni baada ya kusikilizwa mabishano marefu ya upande wa Jamhuri na ule wa
utetezi juu ya dhamana ya washtakiwa kama wapate au la, mahakama
imesema itatoa uamuzi Machi 29 mwak huu, mshtakiwa Mbowe na wenzake
wamepelekwa rumande.
Mapema upande wa Jamhuri uliwasilisha mahakamani hapo maombi ya kunyimwa dhamana kwa washtakiwa kwa njia ya mdomo.
Akiwasilisha
sababu za kupinga dhamana mahakamani hapo, Wakili wa Serikali Mkuu Dk.
Zainabu Mango amedai ni kwa sababu za usalama wa jamii na nchi kiujumla
kama ilivyoelezwa kwenye hati ya mashtaka.
Amedai
wanatambua dhamana ni haki ya mshtakiwa lakini hakuna haki isiyokuwa na
wajibu kwa mujibu wa katiba ya nchi. Kwani Mashtaka yao wanaashiria
kutokutii amri yao kikatiba, utekelezaji wa haki binafsi unapaswa
kuzingatia haki za watu wengine.
Alidai
alidai kwamba makosa yanayowakabili yanahatarisha usalama nchi na
kuwapa dhamana ni kuendelea kuwapa nafasi ya kuendelea kufanya makosa
hayo.
"Jukumu
la dhamana liko chini ya mahakama hii. Hata hivyo kabla ya mahakama
kutumia mamlaka yake kutoa ama kuzuia dhamana inapaswa kuangalia
mazingira ya kosa husika", amedai Dk.mango. Ameiomba Mahakama kuzingatia maslahi ya umma kwa ujumla wake kwa hatari ya makosa wanayoshtakiwa nayo na usalama wa taifa.
Wakili
Faraja alidai kuwa kama washtakiwa wataruhusiwa kurudi uraiani baada ya
matamko hayo ni wazi kwamba haki ya upande wa pili itapotea, matamshi
yaliyotolewa na washtakiwa yana madhara endelevu kwa watanzania kwani
tuna taarifa za upelelezi kwamba baadhi ya mambo yaliyoongelewa,
ushawishi uliotolewa unaonekana kuna utekelezaji wa kihalifu.
Akijibu
hoja hizo Wakili wa utetezi Peter Kibatala amedai hakuna chochote cha
kisheria kilichozungumzwa kutoka kwenye dawati, kilichoko mbele ya
mahakama sio maombi ni pingamizi la dhamana na hakuna ushahidi wowote
kwa yaliyosemwa.
Pia
Kibatala amedai Wakili anashindwa kutofautisha askari mpelelezi na
mawakili wasomi na Mahakama haiwezi kumnyima mtu dhamana kwa taarifa
ambazo haziko mahakamani. Aliendelea kudai hati ya mashtaka haina jina wala sahihi ya aliyeandaa jambo ambalo limekatazwa na Mahakama Kuu.
Mwenyiti
wa CHADEMA na kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni, Freeman Mbowe
akiwa na washtakiwa wenzake Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji, Peter
Msigwa, Kaimu katibu Mkuu wa Chama hicho Salum Mwalimu, Mbunge wa
Kibamba , John Mnyika , Katibu Mkuu wa Chama hicho Vicent Mashinji na
Mbunge wa Tarime Mjini , Ester Matiku wakiwa wamekaa katika benchi la
mahakama ya hakimu mkazi kisutu kusubiri kusomewa mashtaka yao

Mbunge wa Tarime Mjini , Ester Matiku wakipandishwa kizimbani katika
mahakama ya hakimu mkazi kisutu.
Baadhi
ya viongozi wa Vyma vya Siasa na wafuasi wa Chadema waliokuwa
wamekusanyika nje ya mahakama kusuburi kushuhudia msafara wa viongozi
wakuu wa Chadema wakipelekwa Rumande

Post A Comment: