MOUNT MERU UNIVERSITY.
( DAY & EVENING PROGRAMS)
Chuo kikuu cha Mount Meru Arusha Kinapenda kuwatangazia nafasi za masomo katika Ngazi ya Cheti (Certificates) & Diploma kwa INTAKE YA MARCH 2018 kama ifuatavyo:
NGAZI YA CHETI (CERTIFICATE)
(a).Certificate in Accountancy. (CA)
(b).Certificate in Procurement & Logistics (CPL
(c).Certificate in Business Administration (CBA
NGAZI YA DIPLOMA
(a).Diploma of Education (DEd)
(b).Diploma in Accountancy (DA)
(c).Diploma in Procurement & Logistics (DPL)
(d).Diploma in Business Administration (DBA)
Fomu za Maombi ya kujiunga (Application Forms) zinapatikana:
(a).Chuoni Mount Meru University Main Campus.
(b).Kwenye tovuti ya chuo :WWW.MMU.AC.TZ
(c).WhatsApp No: 0768738001
KWA MAWASILIANO ZAIDI TAFADHALI TEMBELEA CHUONI MOUNT MERU UNIVERSITY
PIGA
0768738001/0767785077/0763599829.
.......The Fountain of Real Knowledge.....
Post A Comment: