Kikosi cha Congo kimewasili nchini leo tayari kwa mchezo wake dhidi ya Taifa Stars kikiwa na nyota kibao wanaocheza soka barani Ulaya, orodha kamili hii hapa.

Kikosi kamili cha DRC kilichowasili leo

Makipa; Parfait Mandanda (Charleroi, Ufaransa), Joel Kiassumbua (Lugano, Italia) na Matampi Ley.

Mabeki; Issama Mpeko (TP Mazembe), Ikoko Jordan (EAG, Ufaransa), Nsakala Fabrice (Alayanspor, Uturuki), Ngonda Glody (AS Vita), Masuaka Arthur (West Ham, England), Chancel Mbemba (Newcastle United, England), Moke Will (Konyaspor, Uturuki), Bangala Yannick ( AS Vita), Luyindama Christian (Standard, Ubelgiji), Mulumbu Youssouf (Kilmanock, Scotland) na Lema Mabidi (Raja Casablanca, Morrocco).

Viungo; Kebano Neeskens (Fulham, England), Giannelli Imbula (Toulouse, Ufaransa), Maghoma Jacques (Birmingham, England ) na Kakuta Gael (Amiens, Ufaransa).

Washambuliaji; Balasie Yannick (Everton, England), Kabananga Junior (Al Nassr, Saudi Arabia), Mubele Fiemin (Toulouse, Ufaransa ), Paul Jose Mpaku (Standard Liege, Ubelgiji), Cedric Bakambu (Beijing, China), Afobe Benik (Wolves, England ) Assombalonga Britt (Middlesbrough, England) na Thibola Aaron (Kilmanock, Scotland ).
Share To:

msumbanews

Post A Comment: