Madiwani watatu wa upinzani kutoka Wilaya ya Mtwara Vijijini, Mtwara wamejiuzulu nafasi zao na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi leo, Madiwani hao ni mmoja kutoka CHADEMA na wawili kutoka CUF. 
Share To:

msumbanews

Post A Comment: