Mawaziri
wakuu wa zamani, Frederick Sumaye na Edward Lowassa wameondoka katika
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya
kuhudhuria mazishi ya muasisi wa Chadema, Victor Kimesera.
Viongozi
hao walifika mahakamani hapo leo asubuhi Machi 29, 2018 kusikiliza kesi
inayowakabili viongozi sita wa Chadema akiwemo Mwenyekiti wa chama
hicho, Freeman Mbowe.
Post A Comment: