LIVE: RAIS MAGUFULI APOKEA RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI msumbanews on March 27, 2018 Kitaifa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli, leo Machi 27, 2018, anapokea ripoti kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali, Profesa Musa Assad. Tukio hilo limejiri Ikulu jijini Dar es Salaam. VIDEO: FUATIKLIA HAPA Share To: NextNewer Post PreviousOlder Post msumbanews View Profile
Post A Comment: