Vinara wa ligi kuu soka Tanzania Bara klabu ya Simba majina ya wachezaji wake ambao watacheza katika mchezo wao wa leo wa ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Stand United.
Simba imewataja wachezaji wake akiwemo Aishi Manula, Shomari Kapombe, Asante Kwasi, Yusufu Mlipili, James Kotei, Erasto Nyoni, Jonas Mkude, Mzamiru Yassin, Laudit Mavugo, Shiza Kichuya na Nicholas Gyan.
Wachezaji wa akiba ni Ally Salim, Mohamed Hussen, Rashid Juma, Moses Kitandu, Juma Luizio, Juuko Murshid na Mwinyi Kazimoto.
Mchezo huo utachezwa majira ya saa 10 Alasiri katika uwanja Mkuu wa Taifa.
Post A Comment: