Na :Netho Ndilito
.............................................
Uchumi wa viwanda imekuwa ajenda inayozungumzwa na kila KIONGOZI,Mpenda maendeleo na mwenye Matashi mema katika ukuaji wa Uchumi wa Taifa Letu.Uchumi wa Viwanda (Industrial Economy) tunayoizungumzia hapa Tanzania ni hatua endelevu za kulikomboa Taifa na wananchi wake Kiuchumi.
Mataifa makubwa Duniani yaliyoendelea Kiuchumi Ni matokeo mazuri ya Implementation of Industrial Economy Policy ,Tukifanikiwa kuwajibika kwa pamoja na kuelekea mwelekeo unaofanana(The same economic Direction) Ni rahisi sana kutimiza ndoto za Mpendwa wetu ,Mh.Rais wa Tanzania Dr.John Pombe Magufuli.
Ni dhahiri kabisa kuwa viongozi wengi wameshindwa kuwatumia Vijana ambao ndio kundi Kubwa la Watumiaji,wazalishaji na wauzaji wa Bidhaaa in term of Innovation, Consumption and Supply. Viongozi wengi wamefikiri kuwa Mabadiriko haya ya kuelekea Uchumi wa viwanda ni Jukumu lao Tu.Lahasha,Jukumu la kusaidia Taifa letu kuwa Taifa la uchumi wa viwanda ni la kila mwananchi.
Pamoja na Jukukumu hili Kubwa kwa wannchi ,Taasisi binafsi,Taasisi za umma,Viwanda vya ndani na nje ya nchi (Local Industries) Lazima na ni muhimu sana Viongozi wenye dhamana ya Maamuzi katika NGAZI zote kuwatumia Vijana katika Kuhamasisha,Kufanya na kujadiri Suala La Uchumi wa Viwanda.Pamoja na Sera nzuri za uchumi wa viwanda Tanzania kwa mawazo yangu bado Ninaona kuna haja Kubwa ya kuwashirikisha sana VIJANA Kwanini ndio nguvu Kazi ya Taifa.
Vijana na wananchi Lazima wapenda na kuwa wanunuzi wakubwa wa bidhaa zetu wenyewe kuliko kuendelea kuwa soko la bidhaa toka nje. Kumbuka kuwa hili ndilo kundi kubwa la CONSUMERS (walaji) in the economy. Hivyo wana uwezo Mauve's wa kuwa soko la our local products and in so doing wanayo nafasi kubwa sana ya kuhamasisha local investors in industrial goods na hivyo kutengeneza AJIRA kwayo na hata watoto wao baadae.
Aidha,Pamoja na Kujenga na kuandaa miundombinu mizuri ya kuelekea uchumi wa viwanda ,Lazima Vijana wajengewe uwezo na mbinu za kuweza KUIBA teknolojia (Technology Transfer) ya viwanda toka kwa wenzetu waliokwishaendelea kiviwanda huko nje na hata humu ndani ya nchi, na kutumia maarifa hayo kuanzisha viwanda vyetu wenyewe zenye kumilikiwa na wazawa. Hii itasaidia kujenga Taifa endelevu through INTERGENERATIONAL INDUSTRIAL INVESTMENT.
Pawepo na Youth forum or Youth Conferences katika kila KANDA nchini itakayotoa mwanya kwa vijana kuleta na kutetea VIPAJI vyao hasa katika eneo la kubuni viwanda (their innovative INDUSTRIAL IDEAS) that are relevant in their respective country zone. Hizo IDEAS zote zitachambuliwa na the BEST ideas itapewa tuzo na then itauzwa kwa investors wenye uwezo wa kuanzisha kiwanda hicho mahali husika. Ninataka kuwahakikishi watanzania na Dunia nzima,Vijana wakitanzania wana uwezo Mkubwa sana LA Ubunifu,Usimamizi na Utumiaji wa Rasilimali kama wakishirikishwa na kuelimishwa.
Lengo La Mh.Rais (JPM) ni kuiona Tanzania ikiwa kinara katika uchumi has a katika nchi za Afrika,Lakini anatamani kuona Watanzania wanjikomboa Kiuchumi na kukuza pato la Familia na Taifa kwa Ujumla.Kupiga vita umasikini na kumfanya Mtanzania awe na uwezo wa Kununua (Purchasing Power Purity-PPP).
Hakuna namna ambavyo tunaweza kujikwamua Kiuchumi kama Taifa hili itaendelea kuwekeza kwenye siasa za Panya na Sungura.Ningependa kuiona Tanzania na viongozi wa kisiasa wakiunga mkono juhudi za Serikali hii ili tuendelee kupiga hatua kusogea MBELE.Hata kama hatua zetu ni ndogo kiasi gani lakini tunapiga hatua kusonga MBELE.Ndugu zangu Tunachelewa sana sana,Ninasikitika Kusema tunachelewa kweli kweli.
Chama cha Mapinduzi (CCM) Kimekuwa kinara cha kuhubiri maendeleo nchi nzima, kuhimiza AMANI,Kikihimiza Uwajibikaji,Kikihimiza Umoja wa Kitaifa,Uzalendo,nk,Na Nina watanzania na Vijana wenzangu,Hakuna Taifa lililote Dunia lililofanikiwa kuwa na Maendeleo bila kuwepo kwa AMANI (National Unity). Hakuna.Angalia Mataifa ya South Sudani,Pamoja na Utajili wa Rasilimali nyingi,Marumbano na vita vimewafanya kuwa Taifa maskini sana.Wote sisi ni mashahidi ya kile kinachoendelea SYRIA, LIBYA,nk.Inasikitisha sana kuona Vijana wa kiafrika tumeshindwa kufikiri juu ya Maendeleo ya Mataifa yetu na sasa tumekuwa tukitumika katika Siasa vibaya.
Wakati CCM ikipita huku na huku ,Kila kona ya Taifa letu kuhimiza Maendeleo Watanzania ninyi ni Mashahidi Luna Kundi lingine LA Wanasiasa wanaoendelea kupita kila kona kuchochea na kupinga Juhudi za Serikali hii ya "Uchumi wa Viwanda" Wameendelea kupinga na kuwatumia Vijana wenzetu na watanzania wenzetu wachache ili kuwaunga Mkono.Ni toe Rai yangu tena kwa Kijana mtananzania kuto tumika vibaya na vyama VYA siasa vyenye Nina ovu na Taifa letu,na Familia zetu na Jamii zetu na Uchumi wa Tanzania.
Ni vema nikawataja the Economic Devils wa Taifa hili ni Vyama VYA siasa visivyo na uchungu na watanzania na Maisha yao.Wataendelea kubeza,wataendelea kupinga lakini Vijana wenzangu Tujitambue,Tuijenge nchi yetu,Tuujenge Uchumi wa Taifa letu,Tuimarishe umoja wa Kitaifa,Tupendane na Tudumishe AMANI na Uzalendo ambao ndio utamaduni wetu.
Ni mategemeo yangu Uchumi wa Viwanda Tanzania inawezekana,Nimeshuhudia na kuona Baadhi ya mikoa ikifanya vizuri katika Sera ya viwanda Mh.Paul Makonda,Mkoa wa Dar es Salaam,Mh.ANTHON MTAKA ,Mkoa wa SIMIYU,Mh.Gambo Mkoa wa ARUSHA.Ninawapongeza sana sana viongozi wote wanaotembea katika fikra za Rais wetu. Mh.John Pombe Magufuli.
TANZANIA YA VIWANDA INAWEZEKANA ,KIJANA JITAMBUE NA SHIRIKI IPASAVYO.
Na.
Netho Ndilito
(Hard working & God Fearing Servant)
Post A Comment: