Hongera Rais wetu Mpendwa Dr. John Pombe Magufuli kwa kusimamia kikamilifu mradi huu umekamilika kwa wakati, na utawasaidia Watanzania 5000 kupata Ajira na pia tutaongeza idadi ya ndege kubwa kutua hapa nchini
Jengo hili litakapoanza kutumika siku chache zijazo lina uwezo kuhudumia ndege 20 za kimataifa kwa wakati mmoja pia kwa mwaka litahudumia takribani abiria Milioni sita ambapo kwa jumla jengo hili jipya na la zamani yatahudumia abiria milion nane na nusu kwa mwaka
Numbers Don't lie, Mungu akitujalia Ukimaliza miaka 10 ya Uongozi wako, Tanzania itakuwa miongoni mwa nchi Bora kabisa Duniani
Jerry C. Muro
#NiwakatiWetu
#Tukutane Kazini
Picha mbalimbali muonekano wa jengo hilo baada ya kukamilika

Post A Comment: