Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akikagua mradi wa maendeleo wa Makao Makuu ya Jeshi hilo unaotekelezwa katika mkoa wa Dodoma, leo mradi ambao unatarajiwa kukamilika hivi karibuni.
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akitoka kukagua mradi wa maendeleo wa Makao Makuu ya Jeshi hilo unaotekelezwa katika mkoa wa Dodoma, leo mradi ambao unatarajiwa kukamilika hivi karibuni. Picha na Jeshi la Polisi.
Post A Comment: