Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize aka Konde Boy amefunguka kwa kukanusha taarifa ambazo anadaiwa kuzitoa Shilole kwamba bado hajakabidhiwa gari na Harmonize. Muimbaji huyo amedai siku moja baada ya sherehe ya harusi ya Shilole alimkabidi gari kama alivyoahidi.
Post A Comment: