Dc Kimanta akiwa amebeba zege
Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mh Kimanta Akiteta jambo na Viongozi mbalimbali wa ngazi ya Wilaya.
Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mh : kimanta ametembelea na kushiriki ujenzi wa kituo cha afya cha Mto wa Mbu ambapo kituo hicho kinajengwa kwa gharama Tsh.Mil.400 ujenzi wa kituo hiki cha afya kitawasogezea kwa karibu wananchi wa wilaya ya monduli
Post A Comment: