Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mh:Idd Hassan Kimanta leo ameshiriki kufunga Mafunzo ya kuwajengea Uwezo wa Uongozi Watendaji wa kata,Wenyeviti wa Vijiji na Watendaji wa Vijiji.
Mafunzo hayo yamefanyika kwa Muda wa siku nne 15/03/2018-20/03/2018.
Mafunzo hayo yamendeshwa na Halmashauri ya Wilaya ya Monduli kwa Ufadhili wa Shirika lisilo la kiserikali la Maasai Stoves.
Mkuu wa wilaya aliwataka viongozi hao kutumia mafunzo hayo waliopata kutatua changamoto zinazo wakabili katika kutekeleza majukumu yao kila siku katika maeneo yao pia kufata kanuni na sheria na miongozo iliyowekwa
Post A Comment: