BREAKING NEWS: Abdul Nondo afikishwa Mahakamani msumbanews on March 21, 2018 MATUKIO, Mwenyekiti wa Mtandao wa wanafunzi TSNP, Abdul Nondo amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Iringa kusomewa mashtaka yanayomkabili. Mwanasheria wa TSNP amethibitisha taarifa hiyo. Share To: NextNewer Post PreviousOlder Post msumbanews View Profile
Mwenyekiti wa Mtandao wa wanafunzi TSNP, Abdul Nondo amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Iringa kusomewa mashtaka yanayomkabili. Mwanasheria wa TSNP amethibitisha taarifa hiyo.
Post A Comment: