Diwani wa kata ya Kaloleni Halmashauri ya jiji la Arusha, Ndg.Emmanuel Kessy wa (Chadema) amejiuzulu uanachama na udiwani leo hii na kutangaza kujiunga na ccm kwa kile alichoeleza kuwa amefanya hivyo ili kuunga mkono juhudi za Mh.Rais Magufuli.

Diwani huyo amepokelewa na Katibu mwenezi wa Wilaya ya Arusha Mjini Ndg.Abrahamu Mollel pamoja Katibu Hamasa wa Vijana Mkoa wa Arusha Ndg. Omary Lumato

Share To:

msumbanews

Post A Comment: