AJALI mbaya ya gari imetokea leo Machi 1, 2018, maeneo ya Temeke, baada ya basi ya abiria (Daladala) aina ya Nissan, kugonga magari mawili yaliyokuwa yameegeshwa kando ya barabara ya kuelekea katika Soko la Stereo wakati mvua zikinyesha.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: