Aliyekuwa Msemaji wa Yanga Jerry Muro leo amekabidhi Mipira kwa Mchungaji Israel Moshi wa Usharika wa Lyamungo Kilanya kata ya Machame Mashariki , Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro kwa Ajili ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka kijijini kwao kwa ajili ya tamasha la Pasaka
*#WakatiWetu* *#MachameNyumbani*
Post A Comment: