Video vixen kutoka nchini Kenya aliyeng’ara katika ngoma ya Alikiba na Christian Bela ‘Nagharamia’ Tanasha Donna Barbieri Oketch a.k.a Zahara Zaire , amekana taarifa za kufunga ndoa na hit maker wa ‘ Seduce’ Alikiba.

Tanasha amekana taarifa hizo ikiwa ni wiki moja kupita tokea ripoti idai kuwa wawili hao wanamatarajio ya kufunga ndoa.

Mrembo huyo amekana taarifa hizo kupitia mtandao wa kijamii wa Snapchat kwa kuandika.

“I would like to clarify that the rumour that has been going round on numerous Tanzanian IG pages and blogs claiming that Ali Kiba and I are engaged are COMPLETELY FALSE. Kiba and I once worked together but have never been an item. #Falserum
Share To:

msumbanews

Post A Comment: