Klabu ya Yanga imechomoza na ushindi wa mabao 4 – 0 dhidi ya timu ya Njombe Mji mchezo uliyopigwa uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
Mabao ya Yanga SC yakifungwa na mchezaji Obrey Chirwa matatu na Emmanuel Martin huku mabingwa hao watetezi wakisogea hadi nafasi ya pili baada ya kutimiza pointi 34 nyuma ya Simba SC wenye 38 katika msimamo wa ligi kuu Tanzania Bara.

Post A Comment: