Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Arusha leo umefanya kwa kishindo kikao chake cha kwanza cha Baraza Kuu kikiwa na ajenda moja ya uchaguzi wa katibu wa uhamasishaji wa Baraza la Utekelezaji.
Katika Uchaguzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Ccm mkoa wa Arusha , Ndg Omary Lumato ameteuliwa na kamati ya utekelezaji vijana mkoa wa Arusha uvccm kuwa Katibu wa Hamasa na chipuki ambaye ndiye msemaji wa jumuiya ya vijana Uvccm mkoa wa Arusha ameshinda kwa kura zote za ndio
Post A Comment: