Kama unatumia simu ya Android na unapenda kutunza chaji, huna budi kufuta app moja muhimu, imebainika.
Tatizo ni kwamba app hiyo ni Facebook – ambayo watumiaji wengi wanaichukulia kama moja ya app muhimu.
Ripoti zinadai kuwa ukitoa app hiyo, uhai wa betri ya simu huongezeka kwa asilimia 20 pamoja na kuongezeka speed.
Inashauriwa kutumia Facebook kwa kutumia browser ya Chrome inayotoa notifications kama app tu.
Post A Comment: