Hizi ndizo timu ambazo zimefuzu 16 Bora baada ya michezo ya raundi ya 3 kuchezwa Juzi na Jana.
- Tanzania Prisons
- Maji Maji
- Mtibwa Sugar
- Kiluvya United
- Stand United
- Njombe Mji
- Singida United
- Yanga
- Azam
- Mbao Fc
- Dodoma Fc
- Polisi Tanzania
- Ndanda
- JKT Tanzania
- Buseresere Fc
Kumbuka Kulike ukurasa wetu wa Facebook hapo chini
Post A Comment: