Klabu ya Singida United imetangaza kumsimamisha kazi mchezaji wake wa Kimataifa kutoka nchini Congo Kambale Gentil kutokana na Vitendo vya Utovu wa nidhamu alivyoonyesha katika mechi mbili mfululizo.

Mchezo wa VPL kati ya Singida na Prisons na JANA dhidi ya Green Warriors aliopewa kadi. Ripoti kamili waliyoitoa Singida United hii hapo chini.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: