Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti amesema yupo tayari kupokea simu ya Diwani wa chama cha Mapinduzi ( Ccm ) hata akipigiwa usiku wa manane ili aweze kumpa msaada, lakini siyo kwa madiwani wa vyama vya upinzani na kuwataka wahamie CCM ili nao wasikilizwe.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: