Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt. John Pombe Magufuli amewataka Watanzania kuendelea kuliombea taifa letu.
Rais Magufuli ameyasema hayo leo Jumapili Februari 25, 2018 mjini Chato, Geita alipohudhuria kwenye Ibada katika Parokia teule ya Mlimani huku akimpongeza Askofu Mkuu wa Jimbo la Rulenge-Ngara, Severine Niwemugizi kwa kukipa hadhi kigango cha Mlimani kuwa Parokia.
Soma taarifa zaidi;
Post A Comment: