Shughuli za kupumzisha mwili wa mwanamuziki wa Kundi la Goodlyfe, Mowzey Radio maarufu kama Radio katika nyumba yake ya milele zimefanyika mchana huu katika kijijini cha Kaga nchini Uganda.
Muimbaji huyo wa Uganda alifariki Alhamisi hii akiwa katika hospitali ya Case ya nchini humo baada kudaiwa kushambuliwa na baunsa na kusababishiwa kuvunjika fuvu la kichwa pamoja na uti wa mgongo.
Picha kwa hisani ya News Vision Uganda
Post A Comment: