PICHA : Kinachoendelea Uganda kwenye msiba wa Radio msumbanews on February 02, 2018 BURUDANI, Siku ya February 1,2018 ziliripotiwa taarifa za kifo cha msanii Radio kutokea kwenye kundi la Good lyfe nchini Ugandaikiwa ni baada ya wiki mbili kulazwa ICU baada ya kupigwa na watu wasiojulikana katika moja ya kumbi za starehe nchini Uganda. Share To: NextNewer Post PreviousOlder Post msumbanews View Profile
Post A Comment: