Pengine huwenda ukawa umesahau, leo ni siku ya wapeda nao ‘Valentine’s Day’ hivyo katika mchezo wa soka wapo wachezaji waliyokuwa wakipendana uwanjani na kuwa na umoja ambao umechangia kwa kiasi kikubwa kupatikana kwa ushindi dhidi ya timu pinzani.

Kwa upendo wao wamekuwa wakijenga mchanganyiko ‘chemistry’ uliyokuwa mzuri ndani na nje ya uwanja na hawa ni wachezaji hao ambao wamewahi na wanaichezea ligi kuu ya soka nchini Uingereza.
  1. Frank Lampard na Didier Drogba
2. Darren Anderton na Teddy Sheringham
3. Steve McManaman na Robbie Fowler
4. Robert Pires na Thierry Henry
5. Nolberto Solano na Alan Shearer
6. David Silva na Sergio Aguero
7. Thierry Henry na Fredrik Ljungberg
8. Theo Walcott na Robin van Persie
9. Ryan Giggs na Andy Cole
10. Laurent Robert na Alan Shearer
11. Ashley Young na  John Carew
12. Mesut Özil na Olivier Giroud
Share To:

msumbanews

Post A Comment: