Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepokea list ya nyimbo 15 zisizokuwa na maadili kutoka kwa Baraza la Sanaa Taifa (BASATA).
Nyimbo hizo ziliachiwa na wasanii katika vyombo vya habari pamoja na mitandao ya kijamii bila kupitishwa katika mamlaka husika kwaajili ya kuzikagua na baadaye kuiachia zipigwe.
TCRA imesema nyimbo hizo zina maudhui kinyume na maadili na Huduma za Utangazaji (Maudhui) 2005, hivyo mamlaka hiyo imeviagiza vyombo vya habari kusitisha kuzicheza ngoma hizo.
Post A Comment: