New Video: Mbosso – Nimekuzoea msumbanews on February 10, 2018 VIDEO, Msanii mpya wa WCB, Malomboso aka Mbosso ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Nimekuzoea’. Huu ni wimbo wa pili kwa msanii huyo kuuachia tangu alipotambulishwa rasmi kujiunga na WCB January 28 ya mwaka huu. Share To: NextNewer Post PreviousOlder Post msumbanews View Profile
Post A Comment: