Msanii wa muziki Bongo, Chege ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Kaitaba’ ngoma hiyo amemshirikisha mwanamama Saida Karoli. Audio ya ngoma hiyo imetayarishwa na Moko Genius, wakati video imeongozwa na Hanscana.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: