Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Chemical ameachia video ya wimbo wake mpya ambao amemshirikisha Beka Flavour ‘ASALI’.Video ya wimbo huu imeongozwa na MIMS na audio imetayarisha na Maxmaizer. Tazama video hapa chini.

Share To:

msumbanews

Post A Comment: