New Music: Ivrah – Tulizana msumbanews on February 14, 2018 VIDEO, Msanii Ivrah ameachia wimbo wake mpya uitwao ‘Tulizana’ ambao ni maalum kwa ajili ya siku ya Valentine’s Day. Wimbo huo kutokana na wimbo uliowahi kuimbwa na Njenje, unaitwa Tulizana. Share To: NextNewer Post PreviousOlder Post msumbanews View Profile
Post A Comment: