Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti, ametengua nafasi za watumishi 44 wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu  baada ya kujiridhisha na tuhuma za kujihusisha na masuala ya siasa badala ya kutekeleza majukumu ya kiutumishi.
 Mnyeti ametengua nafasi hizo na kumkabidhi Kaimu Katibu Tawala Mkoa, Arnold Msuya, orodha ya majina ya watumishi hao wakiwemo baadhi ya watendaji wa Vijiji na Kata, na kusema hatua ya watumishi hao kujihusisha na siasa imekwamisha shughuli za maendeleo.
Mkuu huyo wa Mkoa ametangaza uamuzi huo wakati akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu
Share To:

Post A Comment: