Kilele cha maadhimisho ya siku ya sheria Duniani kwa Jiji la Arusha limefanyika katika Viwanja vya Mahakama Kuu Ukiwa na Kauli mbiu ya "Matumizi ya TEHAMA katika utoaji kwa haki kwa wakati na kwa kuzingatia Maadili" .
Shughuli hiyo Imehudhuriwa na viongozi mbali mbali akiwemo Mkuu wa Mkoa Arusha Mhe. Mrisho Gambo ,Meya wa Jiji la Arusha Mhe. Kalisti Lazaro na Mahakimu Mbalimbali. .
Meya wa Jiji la Arusha "amewaasa Mahakimu wajitahidi kuondoa kero na kutoa maamuzi ya haki na kufanya majadiliano na wananchi wenye kero ili kupunguza mzigo wa kesi kwenye mahakama zetu,pia ameahidi kutoa ushirikiano kwa mhimili wa mahakama ili kufanya kazi kwa ushirikiano".
.
Post A Comment: