FDL KUNDI B
Mawenzi-0 Vs Coast-2
Mufindi-1 Vs Polisi Tz-2
Mbeya Kwanza-3 Vs Polisi Dar-1
JKT Mlale-0 Vs KMC-1
MSIMAMO
1) KMC-28
2) Coast-26
3) Jkt Mlale-25
4) Polisi Tz-24
5) Mbeya Kwanza-22
6) Mufindi-13
7) Mawenzi-8
8) Polisi Dar-5
KMC ya Dar es Salaam na Coast Union ya Mjini Tanga zimepanda ligi kuu zikiungana na JKT Tanzania.
POLISI DAR imeshuka rasmi ligi daraja la kwanza.
Post A Comment: