Madiwani 25 wa CHADEMA katika Halmashauri ya Arusha wamesusia kikao cha Halmashauri kwa madai ya kupinga kitendo cha Mkurugenzi wa Halmashauri Wilson Mahera hiyo kutowalipa posho ya vikao viwili pamoja na kupinga kitendo cha kuapishwa kwa diwani wa Kata ya Musa.
Hata hivyo baada ya kupinga hilo Madiwani wa CCM wakiongozwa na Jasmin Bachu wameomba kuvunjwa kwa Halmashauri hiyo kutokana na vitendo hivyo ambavyo vimekuwa vikiendelea.
Post A Comment: