.UTANGULIZI
Parachichi ni moja ya tunda ambalo liko katika kundi la mmea wenye ghala mbili, tunda lake hulizunguka peke linalokuwa ndani, kitalaamu parachichi huitwa Persea Americana,parachichi lipo katika kundi la maua kupandwa, umbile la parachichi ni mviringo au yai. Mti wa parachichi unajichevisha wenyewe . Parachichi kibiashara linafaida maana linahitajika sana kiafya.
ASILI YAKE
Persea amekicana, au Parachichi ina aminika kuwa asili yake ni nchi ya Puebla, Mexico na kusambaa miaka millioni iliyopita kupitia ushahidi, ilitokea huko kaskazini mwa California kuonekana kuwa hali ya hewa ni nzuri kwa zao la parachichi. Ushahidi wa kizamani wa parachichi ulipatikana katika mapango yaliyoko Coxcatlán, Puebla, Mexico, kati ya miaka 10,000 kabla ya Yesu kuzaliwa (BC). parachichi linahistoria ya mbali kuanza kulimwa ni mwanzono mwa miaka 5,000 kabla ya Yesu kuzaliwa (BC).
Mmea wa parachichi ulianzishwa huko Indonesia mwaka 1750, Brazil mwaka 1809, South Africa and Australia mwishoni mwa karne ya 19, na  Levant mwaka 1908.
AINA ZA PARACHICHI
BACON
Huwa na ngozi ya kijani na kuwa nzuri,
Unajua kuwa: Ina umbo la yai, saizi ya kati, Ganda lake ni rahisi kumenyeka, radha nzuri
Saizi: Saizi ya kati kuanzia 6 to 12 oz
Muafaka: Ngozi inabaki kuwa kijani, kijani cheusi,
GWEN
Gwen ni ni aina ambayo matunda yake hulingana na aina ya parachichi iitwayo Hass mwonekana, radha na mfumo wake lakini yana ukubwa
Unajua kuwa: Ina umbo la yai, saizi ndogo na ya kati ya peke, Ganda lake ni rahisi kumenyeka, radha nzuri
Saizi: Saizi ya kati kuanzia 6 to 15 oz
Muafaka: Ngozi inabaki kuwa kijani, kijani hubadilika kiasi na kuwa nyepesi
HASS
Hass ni moja ya aina ya parachichi lakiCalifonia ambalo lina maisha ya rafu
Unajua kuwa: Ina umbo la yai, saizi ndogo na ya kati ya peke, Ganda lake ni rahisi kumenyeka, radha nzuri
Saizi: Saizi ya kati kuanzia 6 to 12 oz
Muafaka: Ngozi inabaki kuwa kijani, kijani hubadilika kiasi na kuwa nyeusi.
LAMB HASS
Hii huwa na radha ya kipekee na kubwa imara kubwa – ni aina ya Califonia
Unajua kuwa: Ina saizi kubwa na umbo la yai, huwa ni laini Ganda na ina radha ya karanga, nilinganifu katika sura au umbo; maonyesho kipekee vizuri na ngozi nzuri.
Saizi: Saizi ya kati kuanzia  
11.75 mpaka 18.75 oz, peke saizi la kati
Muafaka: Ngozi inabaki kuwa kijani, kijani hubadilika kiasi na kuwa nyeusi kiasi.
PENKERTON
Parachichi la Penkerton lina peke dogo, inatoa matunda mengi kwenye mti na inapatikana kwa saizi mbalimbali mwanzoni mwa majira ya baridi mpaka majira ya masika.
Unajua kuwa: Ina saizi mbalimbali na umbo la urefu, huwa na peke dogo, ganda linamenyeka vizuri na radha nzuri.
Saizi: Saizi ya kati kuanzia  8
 mpaka 18 oz,
Muafaka: Ngozi inaivia kwenye rangi ya kijani

REED
Kubwa, ni mviringo hupatikana
Unajua kuwa: Ina umbo la mviringo, huwa na peke la kati, ngozi yake ni kijani kikavu na mwonekano wa cream, ganda linamenyeka kirahisi na radha nzuri.
Saizi: Saizi ya kati kuanzia  8
 mpaka 18 oz,
Muafaka: Ngozi inabaki kuwa na rangi ya kijani
ZUTANO
Hili hugungulika kiurahisi kwa kumeremeta, ngozi ya njano-kijani, ni tunda la msimu mwezi huanza mwezi wa septemba na hupatikana mpaka mwanzoni mwa msimu wa baridi.
Unajua kuwa: Ina umbo la pea, , ganda linamenyeka kirahisi na radha nzuri.
Saizi: Saizi ya kati kuanzia  6
 mpaka 14 oz,
Muafaka: Ngozi inabakiza rangi.
http://i1.wp.com/www.foodrepublic.com/wp-content/uploads/2012/10/AvocadosVarieties_0.jpg?resize=700%2C525Shepard. Hii ni parachichi lina umbo dogo, ngozi yake ni laini pia rahisi kuharibika, na hunata. inalingana na Hass, mfumo hulingana lakini ni nene – uthabiti. Agasti mpaka oktoba.
Choquette. A popular Florida variety, the Choquette avocado may easily weigh two pounds (the average Hass is perhaps 6 ounces). But, more so than in many other varieties, the Choquette’s weight is largely comprised of water. That is, cut this fruit with a knife and it bleeds lime-green juice. One of our panel described its taste as “avocado rainwater.” The flesh is silken and the flavor extremely mild. Season: October through December.
Tonnage. A classic avocado on the outside, with a pear-shaped figure and frog-green pebbly skin and a slender neck leading to the stem, the Tonnage stands out when tasted — for it is remarkably sweet. While its oil content is on the low side — just 8- to 10-percent fat — it is nonetheless buttery, with a faint and savory taste of chestnut. Season: September.
Daily 11. A huge avocado and a relative of the fatty Hass, the Daly 11  may weigh five pounds or more and bears a thick, armor-like hide with dense, flavorful, oily flesh inside. Season: August through October.
Macarthur. This voluptuously shaped variety, with a bulbous bottom that curves deeply into the stem, has thick and creamy meat, with a nutty flavor, and is decadently smooth and buttery when fully ripe. Delicious. Season: August through November.
Hall. A relative of the Choquette and similar in shape and size, the Hall avocado has nuttier, drier and thicker flesh, though still juicy and fruity. Season: October through November.
Mexicola Grande: Small but beautiful, the Mexicola Grande has glistening black skin, almost as thin as paper. The light-flavored flesh is slightly fibrous, sweet and juicy. Season: August through October.
Anaheim. This large and softball-shaped avocado may grow to two pounds and has buttery, creamy, soft flesh and a mild, nutty flavor. Season: June through September.
Hass. Mafuta sana, radha ya karanga High-fat flesh, a nutty taste, and almond butter texture make the Hass both the classic West Coast avocado and a favorite worldwide. Its oil content can be 20 percent or higher, and its skin is tough and durable — ideal for shipping, and for use as a scooping cup when preparing Super Bowl guacamole. Season: Year-round.
Other U.S. grown avocado varieties available: Bacon, Fuerte, Zutano, Pinkerton, Gwen, Lamb Hass, Reed.

PARACHICHI INAKUWA NA MAFUTA MENGI (FAT CONTENT) INAPOKUWA SEHEMU ZA MUINUKO ZAIDI , MITA 1600- 2000 KUTOKA USAWA WA BAHARI
PARACHICHI
AINA ZA KISASA (HYBRID)
1. FUERTE-GANDA LAKE NI LAINI SANAA KAMA LIMEPAKWA MAFUTA
2. HAAS-NI MAARUFU SANA, GANDA LAKE LINAVIPELE VIPELE HIVI
3. X-IKULU-NI PARACHIHI NGUMU KUOTESHA, AKINI IKUBALI TUNDA LAKE HUWA NI KUBWA HATA MAJANI YAKE NI MAPANA, TUNDA LAKE MMOJA HUWEZA UZWA HATA TSH 700-1500
4. ETINGA/WEISO
NAFASI
MITA 8 KWA 8 (NDANI YA MSTARI-SHIMO HADI SHIMO MITA 8, MSTARI HADI MSTAARI MITA 8)
MBOLEA ZA KUPANDIA
  • TSP
  • YARA MILLER WINNER
  • DAP
  • (MINJINGU+UREA)
WAKATI WA KUPANDA (MBOLEA ZENYE PHOSPHOUS KWA WINGI)
KILA SHIMO LIPATE JAPO GRAM 60 HADI 90 ZA MBOLEA MOJA WAPO YA HIZO ZA KUPANDIA.
INASHAURIWA MBOLEA IWEKWE MARA 3 KWA MWAKA (MWANZONI MWA MVUA, KATIKATI, NA MWISHONI)

MBOLEA ZA KUKUZIA (ZENYE NITROJENI KWA WINGI)
  • YARA MILLER WINNER
  • CAN
  • UREA
NI MUHIMU SANA PIA KUPIGA MBOLEA ZA MATUNDA NA MAUA-LENGO NI KUZIA MATUNDA NA MAUA KUTOKUDONDOKA HAPA UNAHITAJI BOOSTER ZINAITWA STARTER (MFANO POLYFEED STARTER), NA BOOSTER ZA WAKATI WA MATUNDA ZINAITWAFINISHER (POLYFEED FINISHER)
WAKATI MATUNDA YAKIJA
CHINI KATIKA MIZIZI UTAHITAJI MBOLEA YA MKUIMARISHA MATUNDA, THE BEST NI YARA NITRABOR COZ INA Calcium na NiroGen kwa wingi, Calcium husaidia kuzuia kuoza kwa tunda katka kitako (Blosom end rot), na pia husaidia kuimarisha ganda
IDADI YA MIMEA
Kwa ekari moja utakuwa na miti kati ya 62 hadi 90 (kwa hiyo nafasi ya 8 kwa 8

MAVUNO
PARACHICHI HUANZA KUZAA BAADA YA MIZEI 18
PARACHICHI LIKIFIKA FULL MATURITY YA MIAKA 5, KWA MWAKA UNAWEZA PATA MATUNDA HADI 1400 KWA MTI MMOJATunda hili lina faida nyingi sana, mbali ya kutumika kama zao la kiuchumi lakini pia hutumika kuimarisha afya ya mwili
1. Faida za Parachichi upande wa Lishe
-Tunda lina vitamini zifuatazo
1. Lina Vitamini A-husaidia sana kuimarisha Macho kuona vizuri
2. Lina Vitamini B (B1-B12)- Husaidia sana mfumo wa misuli ya mwili kuwa sawasa na kuuepusha mwili na matatizo ya nerve
3. Lina Vitamini C-Husaidia sana upande wa kuimarisha ngozi, kwa sababu liko na mafuta, lina zaidi ya mara 4 ya virutubisho vya vitamini C vinavyopatikana katika machungwa
4. Lina vitamini D-ambapo husaidia sana kuimarisha mifupa ya mwili
5. Lina vitamini E-hii husaidia sana kuimarisha seli za uzazi, linasaidia sana kuongeza nguvu na utengenezwaji wa seli za uzazi
6. Lina vitamini K-Husaidia sana kuganda kwa damu, na kuongeza uzalishaji wa chembe hai nyekundu za damu
Madini- (Mineral Elements)
Ni tunda lenye
1. Madini ya Chuma kwa wingi (Fe)-Haya huaidia sana utengenezwaji wa damu, na kuongeza uwezekano wa damu kuwa na oxygeni ya kutosha na kusafirishwa kwa urahisi
2. Madini ya Calcium-Lina madini ya calcium, yanayosaidia kama ufanyaji wa kazi wa seli hai za mwili
3. Lina virutubisho vingine vidogo vidogo vingi, vinavyotakiwa katika ufanyaji kazi mzuri wa selli hai za mwili
2. Agronomy ya ParachichiHali ya hewa
-Ni tunda linalopenda sana sehemu za baridi, maeneo kama ya Rungwe-Mbeya, Njombe, Makete, linastawi vizuri sana, na huwa na Fatty Contenty kubwa
Joto
Nyuzi 15-25 Sentigrade
Muinuko
Mita 1200-1800 kutoka usawa wa baridi
Udongo
-Uwe kichanga tifutifu (Sandy loam), usiotuamisha maji
Aina za Parachichi
1. Zipo aina za kiasiliKila sehemu kuna iana za parachichi ambazo ni za asili ya eneo husika, parchichi hizi, huwa ndefu sana, na mavuno machache
2. Zipo aina za kisasa (Chotara)
Ziko aina nyingi sana za Parachichi chotara, na hizi hapa chini ni baadhi ya zile maarufu hapa tanzania
i. Hass
-Hii ni aina maarufu sana katika aina za parachichi
-Ni tunda linalokuwa na vipere vipere
-Limechongoka juu na chini
-Linahifadhika kwa urahisi
ii. Aina ya pili ni Fuerte
-Hili ni aina ya parachichi lenye ngozi laini saini, ngozi yake inateleza kama imepakwa mafuta
-liko na mafuta mengi ila linawahi kuoza
-Ni zuri kwa matumizi ya kawaida , si kwa kusafirisha umbali mrefu
-Aina hii ikilimwa sehemu za miinuko na baridi sana, inafaa sana kutoa mafuta mengi yanayoweza kutumika kutengeza lotion na baadhi ya vyakula vya mifugo
iii. Aina ya tatu maarufu hapa tanzania –inaitwa X-ikulu
-Ana hii ni maarufu sana kwa mikoa ya nyanda za juu kusini (Mikoa ya Njombe, Iringa, Mbeya na Ruvuma)
-Mti wa aina hii huwa na majani mapana kama mti wa embe
-Mti huu huchukua muda mrefu sana kustawi
-Tunda lake huwa ni kubwa, na lina gharama sana
UPandaji wa Parachichi
Nafasi kati ya shimo na shimo
-Umbali wa kutoka shimo hadi shimo ni MITA 7
-UMbali wa kutoka mstari hadi mstari ni MITA 7
Lakini kipimo hicho hapo juu kitategemea sana na aina ya udongo wa shamba lako , kwa udongo wenye Phosphorus kwa wingi (P), kipimo hicho hakifai, maana baada ya mika 3-5 miche ya mistari miwili inayofuatana itakuwa imekuatana katikati
Hivyo nafasi yaweza kuwa
8M X 8M-KWA NAFASI HII UTAKUWA NA MICHE 63 KWA EKA 1
AU 9M X 9M-KWA NAFASI HII UTAKUWA NA MICHE 49 KWA EKA 1
AU 10M X 10M- KWA NAFASI HII UTAKUWA NA MICHE 40 KWA EKA 1
Ukubwa wa shimo-Shimo laweza kuwa futi 2.5 x futi2.5 x futi 2.5 = (sm 75 x sm 75 x sm 75) (Kimo x upana x urefu)
-Au kipimo cha futi 3 x futi 3 x futi 3= sm 90 x sm 90 x sm 90
Mbolea
-Mbolea za kupandia zitakazohitajika , ni moja wapo kati ya hizi
-Samadi, Mboji, DAP, au TSP-Lakini ni muhimu kupandia mbolea asilia kama samadi ukachanganya kidogo na TSP au DAP
Kipimo cha mbolea,
-Kama ni mbolea za asili (Samadi au Mboji)-Kiasi cha kilo 16 hadi 20 kinapaswa kiwekwe katika shimo miezi 3 kabla ya kupanda mche
-Kama utapandia mbolea za viwandani (TSP, DAP, Minjingu, NPK etc)
kiasi cha gramu 100 hadi 200 kiwekwe kwa kila shimo, ichanganywe vizuri na udongo, kisha mmea uwekwe na kumwagiliwa
KUKOMAA NA KUTOA MAVUNO
-Parachichi hasa hizi za kisasa, hukomaa baada ya miezi 18 hadi 24
MAVUNO
-Kwa mara ya kwanza mti mmoja wa parachichi unaweza kukupa kati ya matunda 50 hadi 100 kwa mche mmoja.
-Mavuno hueongezeka kadri umri unavyoongezeka
-Mti wa parachichi ukifikia umri wa miaka 4 hadi 5, unakuwa full maturity, na hivyo mti mmoja unaweza kukupa hadi matunda 1200 kwa mwaka mzima ‘
FAIDA
kwa kipimo cha mita 10 x mita 10, katika eka mmoja utakuwa na mita 40
-Kila mti baada ya mika 5 unaweza kukupa wastani wa matunda 1000
-Hivyo kwa miti 40, utakuw na jumla ya matunda 40 x 1000= 40,000
-Kila tunda kwa bei ya shambani uuze tsh 250, na unamatunda 40,000
-Hivyo utapata jumla ya tsh 250 x matunda 40,000= 10,000,000tsh (MILIONI 10)
Magonjwa ya parachichi
Parcahichi kama mimea mingine inashambuliwa sana hasa upande wa majani pamoja na matunda
1. Yapo magonjwa ya majani, yanayosababishwa na fangasi/Ukungu, Algae, pamoja na wadudu, pamoja na lishe duni
Jani lililoshambuliwa na Alga

Mite-Utitiri mweupe Avocado lililoshambuliwa na Utitiri
2.Magonjwa ya matunda
Yasababishwayo na fangasi/Ukungu, Wadudu,na Lishe dunipia-Tatizo la Athracnose husababishwa na Ukungu/Fangasi
-Tatizo la Scab, husababishwa na Ukungu/Fangasi hasa wakati wa baridi/unyevu mwingi
 
Thrips wa avocado Matunda yaliyoathiriwa na Thrips
DAWA
Dawa za kutibu wadudu kama Karate, Matchi, Actellic 50 EC, za faa sana kumaliza wadudu katika mmea wa parachichi
Dawa za Ukungu kama Ridomil Gold, Ebony 72 WP (Mancozeb na Metalaxyn), Ivory, na Nordox zaweza kutumika kumaliza matatizo ya ukungu
Lishe ya mmea
Mbolea za kukuzia kama CAN, UREA NA SA (hasa kwenye maeneo yenye magadi kwa wingi, na chumvi nyingi) yaweza kutumika kubalane PH YA Udongo.
Booster=Mbolea za majani, maua na matunda kama vile Polyfeed Starter, Polyfeed finisher, Wauxal macro mix, Potphos, au Multi K , Ni muhimu sana zikatumika wakati wa maua, na matunda ili kuzuia matunda ya parachichi kuabort (Fruit abortion) yakiwa machanga, pamoja na kuzuia matunda kudondoka yakiwa machanga.
Hitimisho
Parachichi-Kama matunda mengine, ukililima kitaalamu, na ukaweka juhudi na maarifa linakutoa katika umaskini

Share To:

Post A Comment: