Hiki ni Kikosi cha Yanga kinachoanza kikiwa na Wachezaji wake wa Akiba dhidi ya Lipuli Fc katika uwanja wa Samora Mkoani Iringa.
- Youthe Rostand
- Hassan Kessy
- Gadiel Michael
- Said Juma
- Kelvin Yondani
- Papy Kabamba
- Emmanuel Martin
- Raphael Daudi
- Obrey Chirwa
- Pius Buswita
- Geofrey Mwashiuya
Wachezaji wa Akiba
Ramadhan Kabwili
Maka Edward
Yusuph Mhilu
Matheo Anthony
Baruani Yahya
Said Mussa
Post A Comment: