Ligi kuu soka Tanzania Bara inaendelea leo katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam kutakuwa na shughuli kati ya Simba na Mbao Fc mechi ikianza saa kumi kamili jioni.
Hiki hapa Kikosi cha Simba Dhidi ya Mbao Fc
- Aishi Manula
- Shomary Kapombe
- Asante Kwasi
- Yusuph Mlipili
- Erasto Nyoni
- Jonas Mkude
- Shiza Kichuy
- Said Khamis
- Emmanuel Okwi
- Nicola Gyan
- James Kotei
Wachezaji wa Akiba
- Ally Salim
- Mohamed Hassan
- Mzamiru Yassin
- Laudit Mavugo
- Mwinyi Kazimoto
- Paul Bukaba
- Rashid Juma
Post A Comment: