Nichukue fulsa hii awali ya yote kuwapa pole sana Wazazi,Ndugu na Watanzania kwa ujumla kwa Kifo cha MWANAFUNZI kinachosadikika kusababishwa kwa kugongwa na kitu chenye ncha Kali.Mchango wake kwa Taifa hili utaendelea kuthaminiwa na kukumbukwa Daima.

Aidha nimesikitishwa Sana na kauli za Mbowe,Lowasa na viongozi wa chadema kwa kutoa KAULI na matamshi mabovu,Zisizo Na nidhamu,Zenye kujenga chuki Na hira kwa watanzania,Kauli za Kichochezi na zenye kusababisha vurugu,Kinyume kabisa na Kanuni,Taratibu,Sheria za uchaguzi na Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.Kwanini hawakamatwiii?????.

Ukombozi na Uhuru wa fikra ni uponyaji Mkubwa wa UBONGO.ninahisi Viongozi wa CHADEMA na genge lao wameshindwa kujikomboa kifikra na Kimaadili.Wameshindwa kufikiri kuwa AMANI ya Taifa hili ni Tunu na Baraka kutoka kwa mungu.AMANI ya nchi yetu haiwezi hata Sikh moja kuvunjwa Na Kauli za MBOWE,LOWASA Na viongozi wa Chadema.Lakini mbali na Baraka hiyo kutoka kwa Mungu ,Lazima Serikali iilinde,Iitunze Na idumishe AMANI hii.Na yeyote atakayejinasibu majukwaani kuhatarisha upotevu wa AMANI yetu huyo ni sawa Na shetani.(SHETANI WA TAIFA HILI).

Wananchi ninyi ni mashahidi,Mungu ni shahidi kuwa KAULI WALIZOZITOA viongozi wa chadema ambao ni sasa Na  Madalali kwa wa wafuasi wa hicho,Hakika ni Dhambi Kubwa Na fedheha kwa Mungu Na Watanzania wote.Kwa wakati tofauti tofauti,MBOWE na LOWASA wana kesi ya kuwajibu Watanzania kwa kuifananisha Tanzania Na Mataifa mengine yenye Machafuko.MBOWE na viongozi wa Chadema wametumia KAULI nyingi Na za kejeli na kumshambulia kwa maneno makali sana Mh.Rais,Mwenyeki wa CCM Taifa  Na Amiri jeshi Mkuu.Dr.John Pombe Magufuli.Wamewakosea watanzania ,Na wamemkosea muumba wetu.Kweli Rais wa nchi anashambuliwa kwa maneno makali Na Wanachama wa chadema Mnampigia Makofi MBOWE?Kwanini wasikamatwe??????

Hatuwezi kuwa Na Taifa lenye viongozi wa kisiasa wasio heshimu Tunu za Taifa hili,Moja ya Tunu pekee iliyokosekana kwenye Mataifa mengi Duniani ni (AMANI),Tanzania is a home for every person.Kwanini MBOWE Na vibaraka wake wamejikita kuwachonganisha Watanzania Na kuwajengea chuki Na hira ndani ya Jamii.Je ni kweli MBOWE hajafanikiwa kutibika kifikra? Je MBOWE Na chadema wanafahamu kuwa Tanzania ni Kubwa kuliko Chadema?Je MBOWE. Na Chadema wanafahamu kuwa Rais wa nchi hii ni Mmoja Tu,DR .JOHN POMBE MAGUFULI?,Ninafikiri MBOWE Na chadema pamoja Na kuwa kwenye sasa kwa Muda mrefu bado Uzalendo wao kwa Taifa letu ni Sifuri.

Nimeandika kwa masikitiko makubwa sana,kweli Mtanzania unathubutu kusema ati IPO siku Taifa hili ..........Naomba kuchukua fulsa hii kumuonya MBOWE Na chadema kuwa Taifa hili sio Mali ya Familia zenu.Taifa hili ni ardhi Tukufu Na teule kutoka kwa Mungu.Katika Taifa hili ,MBOWE Na chadema ni kama SISIMIZI kwenye Mbuga ya Ngorongoro.Taifa hili naapa ,haliwezi wavumilia watu kama akina MBOWE Na kundi lake."Tutawakanyaka Tu"Taifa hili linazaidi ya Watanzania mill 60,000.MBOWE ni Mmoja Na LOWASA ni Mmoja,Chadema ni Moja,Biashara yenu Na udalali wenu kupitia siasa sasa Watanzania wameishitukia.You will never Fool Tanzanians any more.

Niviombe kwa hekima Tu Vyombo VYA Sheria Na Polisi,kuwachukulia hatua Kali Viongozi wa chadema ambao kwa sasa hatuwezi ona athari za KAULI zao wanazozitoa dhidi ya Serikali,Bali madhara yake yanaweza onekana baadae,wakati MBOWE Na LOWASA Na genge lake wakila bata Ulaya.Pamoja Na ushindi Mkubwa Na wakishindo wa CCM kila Kona,Ni dhaihiri kuwa Watanzania wengi wataungana Na Mimi kuwa CCM ndio chama pekee Kilichobaki duniani kilichojikita katika Sasa,Bora ,Uhuru wa kifikra,Demokrasia na Upendo Na Mshikamano.Ni chama kinachoongoza Na chama cha Kizalendo.

Imenipa tabu sana kufikiri ni akina nani waliwapigia kura hats hizo chache viongozi wa chadema Na Ukawa?Lakini ninajiridhisha hats wanaoamini IPO siku MBOWE na Chadema itakuja wasaidia kimaendeleo.(Mnajidanganya Na kupoteza Muda)Hao ni madalali wa chama cha Chadema Na sio Viongozi wazalendo.Fikiria ni viongozi hao hao wanaoliombea Mabaya Taifa letu,Ni viongozi wa chadema hao hao wanaoshawishi nakuchochea Watanzania wasio Na hatia kufanya Maandamano Haramu.Ni viongozi hao hao wamekuwa mstari wa MBELE kuomba hasho posho ziongezwe.Hivi Leo hii CHADEMA itumie Muda Na fedha zake kuwaletea maendeleo wananchi..(Ni ndoto ya abunuacha)

Niombe sana itakuwa heshima kwa Mungu Na Watanzania kama MBOWE Na Chadema wataitwa ili kutoka Na kutueleza Kwanini wanafanya hivyo huku wakijua ni kinyume cha Kanuni Na Sheria za uchaguzi Na ni kinyume cha Katiba ya nchi yetu.Nimeviomba Vyombo vyya DOLA kuchukua hatua Kali ,vikishindwa Mimi binafsi nitawashitaki na kufungua kesi Mahakamani dhidi ya MBOWE ,LOWASA na viongozi wengine waandamizi ambao majina hao  sitoyataja sasa ili wasije wakakimbia au kujificha."Nasisitiza nitafungua kesi na malalamiko yangu kwa viongozi hawa."

Nawatakia kila raheli.

Netho Ndilito
(Hard working & God Fearing Servant)
Share To:

msumbanews

Post A Comment: