Je unatamani kusikia ngoma mpya kutoka kwa Harmonize? Ni miezi minne imepita tangu msanii huyo wa WCB alipoachia wimbo wake wa mwisho, Nishachoka.
Haujazoea kuona kimya kingi kama hicho kutoka ka wasanii wa WCB – Weka tayari macho yako na masikio kusikia ngoma mpya kutoka kwa msanii huyo ambayo itatoka Machi 1 ya mwaka huu.
Harmonize amethibitisha hilo kutokana na ujumbe ambao ameuandika kwenye mtandao wa Instagram, pia kunauwezekano wimbo huo ukapewa jina la Kwangwaru kutokana nio hashtag ambayo ameitumia.
“HAKIKISHA UME #SUBSCRIBE YOU TUBE CHANEEL YANGU UWE WAKWANZA KWAKILA JAMBO LIJALO 2018 TAREHE 1/3/ #KWANGWARU 6 DAY’S TO GO,” ameandika Harmo.
ambao amemshirikisha Korede Bello Kutoka Nigeria.
Post A Comment: