Baada ya kujiunga na United akitokea Arsenal na kupokea kitita cha paundi 350,000 kwa wiki, Sanchez amejipatia goli lake la kwanza katika ushindi wa 2 – 0 dhidi Huddersfield.
Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United, Alexis Sanchez amesafiri na familia yake katika jiji la Paris kupitia ndege binafsi baada ya kuipatia bao timu yake dhidi ya Huddersfield wikiendi hii.huyo wa kimataifa wa Chile ameibeba familia yake na kusafiri nayo hadi katika nchi ya Ufaransa kupitia ndege binafsi na kutupia picha hizo kupitia mtandao wa kijamii.
Post A Comment: