Klabu ya Barcelona imewekwa katika wakati mgumu wa kufuzu katika hatua ya fainali ya Kombe la Mfalme nchini Hispania kwa kupata ushindi mwembamba wa goli 1-0 dhidi ya wababe Valencia.
Katika mchezo wa marudiano Kunako dimba la Mestalla, Barcelona watahitaji goli au kuzuia wasifungwe hata goli moja dhidi ya Valencia ambao kwa msimu ni klabu ya pili ambayo imeruhusu magoli machache La Liga.
Goli pekee la Barcelona limefungwa  na Luis Suarez kunako dakika 67 ya mchezo.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: