Uwanja wa Majimaji upo katikati ya mji wa Songea mkoa wa Ruvuma na unamilikiwa na CCM. Ulijengwa mwaka 1979. Uwanja huu una uwezo wa kuchukua watazamaji 18,000 na utakuwa ukitumiwa na timu ya Majimaji kama Uwanja wa nyumbani msimu huu.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: