Diwani wa kata ya Haydarer Halmashauri ya Mbulu Bwana Justine Masuja kutoka Chadema amekata Shauri na Kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM Akimuunga Mkono Mhe Rais, Dkt. John Pombe Magufuli Kwa kazi Nzuri ya Kuijenga Tanzania Mpya
#MpendeAdui #AduiFursa #WakatiWetu
Source : Msumbanews.co.tz
Post A Comment: