Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki  Joshua Nasari amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Arumeru { Sekei } muda huu

Mbunge Nassari amefunguliwa kesi ya kutishia kwa Silaa ya mwaka 2014 wakati wa uchaguzi wa Serikali za mitaa ya kwamba alimteka Mtendaji wa Kata ya Makiba mwaka 2014.


Kesi inatarajia kuanza kusomwa muda mfupi kutoka sasa tutawapa update kilichojiri mahakamani hapa

Share To:

Post A Comment: