Leo Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limemkamata  Tito Machibya maarufu kama Nabii Tito, ambaye amekuwa akionekana mitaani kuhubiri huku akiwa anakunywa pombe na kuwabusu wanawake huku akiwashauri  watu kufanya mapenzi na wafanyakazi wao wa ndani 

Kupitia ukurasa wake wa instagram Waziri wa Mambo ya Ndani Dr. Mwigulu Nchemba amesema  mtu huyo amekamatwa  kwa tuhuma za udhalilishaji.

“Udhalilishaji wa aina yoyote ile haukubaliki(Kijinsia,Dini n.k)”- Ameandika waziri Mwigulu

A
Share To:

msumbanews

Post A Comment: